VENUE::ABLA'S APARTMENT

JIUGONJWA LIKAKATWA KAMA SANDAKALAWE ALOPATA AKAPATAA ALOKOSA AKAKOSAA kama kawaida watu tulisepa na take away.....wink

baada ya salam akakabidhiwa mzigooo
SHAAA!! ndo alikuwa anaungurumisha jiwimbo la Happy birthday
Ikabidi tu aingie...no way....kwani alipokelewa na nderemo na vifijo vya happy birthday 
hahahhaha kufika kuona umati miguu ikaanza kugoma kwendaa....wink

















TULIKOGUSWAAAlol maana siku hz siguswi peke yangu nafanywa oneshwa zeze hujaguswa hapo?!!nakuwa najua tu wameguswaaa na wao




picha zaidi mtembelee LADY JAY DEEALIYEGUSWAAAA?!!!!



0 comments:
Post a Comment