haya shime shime kina mama na watu woote huko mliko na mnamjua mtu anayeteseka na huu ugonjwa wafistula ....hospitali ya CCBRT Inatibu huu ugonjwa bureee, itakupa nauli ya kukutoa kokote uliko, chakula na malazi hadi utakapopona yeyote anayemjua mtu tafadhali waliana nao kupitia namba 0765 770 770, 0752 678 263, 022 260 2877 na kwa habari zaidi ingia kwa Balozi
CEO wa CCBRT Bw.Erwin Telemans
akitawazwa rasmi kuwa balozi
alitembelea wodini kukutana na wagonjwa
alipata wasaa wa kajiinterview kidogooo na vyombo vya habari
picha tyme....hakuna red carpet jamani ilikuwa hospital
Jide na Manager & brenda kikazi zaidi
niache tu kuguswa....... viatuziiii
hiyo set ya Vitupio...safiiiiiii
0 comments:
Post a Comment