ANGALIZO.....BELTS....'JIKANDA'

HAYA MASHOST NIMEONA HILI LISIPITE KAVU SIKU MBILI HIZI NAONA JIKANDA LINACHUKUA CHATI....MAANA NAONA JIKANDA LINAVIKWA HADI KWENYE KITENGE...NA LINAPENDEZA... HADI KWENYE NGUO YA USIKU NDO NIKASEMA NIPERUZI JINSI YA KUUVAA NA WATU WANAUVAA VIPI...NDO NAAMBIWA HAIJALISHI MNENE AU MWEMBAMBA , MPANA AU MNENE BORA TU UKUTOSHEEE...WAWEZA KUWA WA NGOZI AU PLASTIC, WENYE STONES AU STUDD

WANASEMA BELT SI YAKUSHIKILIA SURUALI AU SKET ISIVUKE TU BALI MKANDA NI KINOGESHI KAMA KINOGESHI CHENGINE  KAMA HERENI,CHENI,PETE NK

NA WANASEMA MKANDA KAZI YAKE NAKSH TU NA KUPONGUZA MSISITIZO WA MAHALA FULANI...UKIVAA ZAKO TOP AU GAUNI PANAPANA KUONESHA AU KUKISAKA KIUNO TUPIA KANDA, UKAONA UMEVAA NGUO COLOR COMBO AU RANGI MOJA SAANA TUPIA JIKANDA ILI UJIFUNUE BIBI  ...we can just add an inexpensive belt to give our wardrobe a boost.....NA JIKANDA HUONDOA TUMBO ATI... Its so much hotter to show off a little bit of curve. Its feminine, pretty, attractive. uko nyonyo....
Mengineyo ya kazi ya mkanda mtajaziliza nanyi wadau






JIKANDA HILOO JUU YA TENGE

BLACK BERRY ZINAUZWA


WADAU  MAMBO HAYAAA KUTOKA ULAYA JIPATIE SIMU YAKO YA BLACKBERRY TOUCH NA BOLDWHITE MPYA NA MABOX YAKEE KWA BEI YA LAKI  TISA NA NUSU  NA MILIONI MOJA NA LAKI. MOJA MWANAMKE BBM  BIBI ;)

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA  NAMBA 0715 117788

950,000
                                                                         1,100,000

STYLE MOTOMOTO......RED CARPET!!

                                         

HAYA WADAU ZAIDI YA KUONESHA MAVAZI PIA KULIKUWA NA SHOPPING TYME...AMBAKO WADAU WALIPOATA FURSA YA KUSHOP KUTOKA UNIQUE PEARLS,JACKZ, AMINA DESIGN,MIMI'S,BINTI AFRIKA,FRANKO DESIGNS, GABRIEL NA FARHA NAAZ.........KUONA PICHA ZA FASHION SHOWWWW DUMBUKIA  NDANI YA BLOG YA TMH MITINDO....




RED CARPETTTTT.....ZULIANIIIIII
               mzunguuuuuuu kafungukaaaaaaaaaaa......CHUKI YA NINI SILI CHA MTU



















































THANKS BROTHERS FOR SUPPORT....

Miss Jestina this is 4 u


 

                                    BACK TO AFRIKAAAAAA









PASPOT SIZE!!

                             WADAU WALISHOP......SHUKRAN KWA KUSUPPORT SHOW

                                            WADAU WALISHOP......SHUKRAN KWA KUSUPPORT SHOW
                                        Mama Nayla ....na shurg yake toka 8020 fashions..Umetishaaa
                 BINTI AFRIKAAA.......UMENIJAZIIIIIIIIII na kitu cha VIFUNGO NA BANGLEZ

       WOW!! WOW!! JAMANIIIII HIZO NI NYWELE ZA UKWE'E KITU REAL NATURAL

                                                             HAIR DO!!
                                         VIATUZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

                                                           stocking nazo zilichukua nafac



                                                            KITU CHA LACE NA JIUA!!

              HICHI KINANIKUMBUSHAAA CHA BEYONCE CHA JUZIIIII ;)

                                     
                                                              kitu cha 'KT'