SASA YANAPATIKANA 8020 FASHIONS...KILA RANGI NA KILA STYLE KARIBUNI SAANA
Unaweza mix rangi na size tofautiiii


kim K yeye hupendelea kuyavaa hivi....yanapendeza saana

Beyonce ye anazivaa kwa style hii

My Riri nae analipuka nayo kwa style hii
we una zako unalipukaje?umeguswaa...nitumie pitia shamyomy@yahoo.com