THEY MADE IT!!!

HAYA MAMBO MIE NIMEZOEA KUONA KWENYE HARUSI ZA WANIGERIA KUMBE HATA WABONGO WANAWEZAAA ...NIMEFURAHI SAAANA KUONA HII WEDDING....HONGERE RM!!

BRIDE::RITA
GROOM::MPESHA
COLOR::HOT PINK was the color..hizo nyengine mbembetu
VENUE;;MILWAUKEE WISCONSIN,usa

THEME:: ilikuwa simple, modern and classic. Pia Orchid flowers ilikuwa party of the theme ndio maana nilitumia bouquet ya orchid flowers, zawadi kwa wageni ilikuwa ni mishumaa yenye gel na orchid flower. Centerpieces pia nilitumia maua ya orchid .



orchid flowers

Ugonjwaaa simpleeee ila waukweliiiiiiiiiiiiii hadi rahaa
Centerpieces

mazaga zaga yaliyoremba ukumbiiiii
ukafika muda wa kudance
Hapa akawa ameshatoa kibajaji.....

jigauni kwa nyumaaaaa....kama vono vonoooo




YE Hajavaa kibandiko/kibajaji...ni kama sasha hivi nimependa idea


29 comments:

Anonymous said...

Mweeeh Zeze kwani hii harusi ya hapa kwetu???
Mbona ka kwa wenzetu uko cjui majuuu!!
Wana mambo!!its really really good!

Angel said...

Da nimeipenda sana, zeze imefanyika hapa Tanzania?

Anonymous said...

kwakweli wamenoga sana. dada yupo simple na makeup imemtoa. natural beauty. tujifunze kutoka kwake kuwa mkorogo sio uzuri:) hongera na mumeo kapendeza sana

wahida shoo said...

jamani hadi raha sio wachaga kweli hao nimependa.

Anonymous said...

Ni nzuri sana mamii, ulipendeza mnoo. The theme was perfect!
One thing nime'note, haikuwa Bongo! It is soo American, just to clarify!

Anonymous said...

zeze naomba contact ya hiyo harusi nani ni mpambaji na ilifanyika wapi please, nataka kuolewa mwezi may mwakani

Anonymous said...

hongeara dada ni kweli umependeza sana
jey

Anonymous said...

Hey Shamim! umenipa raha kuona hizo picha, I was so good- by they way nilikuwepo na mimi. Harusi tulifanyia MILWAUKEE WISCONSIN, USA na Bibi harusi ni binamu yangu.By U.Msuya

Jiang said...

just one word to describe it, ELEGANT!

homez deco kreative homez said...

sis, wamenikosha sanaaaa, wedding imependeza sana, kweli huku bongo imefika muda wa kubadilika, nimeshaliongelea hili swala la maua anayoshika bibi harusi, sio lazima roses tuuuuu jamani, na hizo center pieces they are simple and nice.

Sylvia-homez deco

Anonymous said...

jamani harusi nzuri sana!hongera zao kwa kweli walijipanga kamili Wachaga mnajeuri sana.

Anonymous said...

zeze bana hao ni wabongo ila sio BONGO mamie huo ndio uofauti. BONGO utajua tu from ukumbi to nguo very kumix

waulaya said...

simple and perfect:( mmenoga maharusi, huyu dada ana rangi kama yangu jamani. nimeku-like..lol usijichubue darling

Anonymous said...

Just to clarify; Maharusi ni Watanzania na wote wawili kwa kabila ni wahaya ila wote wanaishi USA na harusi ndiko ilikofanyika.

It was a very very very beautiful wedding! Bibi harusi alifurahisha sana maana alikuwa ana smile muda wote na hata kufanya wageni wafurahi. Bwana harusi alifunika sana tu...

Anonymous said...

ni marekani harusi za marekani hata kama ni wabongo or bara lolote kuna utofauti na kama ya kufanyika hapa tz. Tz bila mipambo kibaoooo harusi haijanoga.walipendeza na ni standard za marekani na ulaya

Anonymous said...

Mi niko karibu na hao wote hakuna mchaga ni wahaya,Zeze wape ufafanuzi zaidi hapa sio Bongo.

Anonymous said...

jamani harusi imependeza sana many congrats kwa kweli maids nimewapenda sana wamependeza sana na nguo zimewafit vizuri wako na shape nzuri kwa kweli ni wazuri na nimewakubali and the colour of their dresses ni nzuri sana ni wasichana wa kibongo nini hizo shape niza kibongo au ni wawapi.

Anonymous said...

jamani nashangaa sana wanaouliza hiyo harusi ni bongo, ukitaka kujua harusi za bongo kwa urahisi lazima utaona misitu ya maua, mi nashindwa kuelewa ile misitu ni ya nini???? pili zote ni style moja, tofauti inaweza kuwa rangi, hii harusi tangu picha ya kwanza utajua sio TZ, jamani hizi complication zetu za kibongo tutaondokana nazo lini?? kwa nini mambo yasiwe simple kama hivi?? halafu kumbe watu wanapenda, je tukiambiwa kutumia gharama hizi za maharusi kwa wagonjwa waliopo ndani ya familia zetu ambao pia wengine ni ndugu zetu wa karibu, je tutajishebedua hivi??

Anonymous said...

Sasa mbona mnajichanganya, si mnasemaga bongo kuna kila kitu na watu mnajua kupangilia vitu kuliko majuu! sasa mbona hii mmebabaikia tena, ooh lazima ilikuwa nje ya TZ! kumbe ukweli mnaujua kuwa Tz na majuu kuna tofauti kubwa sana hata mkijikoki vipi bado itabakia kuwa ni tz na majuu ni majuu! haa, ngoja waamke waosha vinywa! ntashaaa.

Anonymous said...

zeze hao wapambe mbona wote wana viwowo vimekaa vyema hivo, vyakwao au vya dukani! ni swali tu!

Anonymous said...

nilijua tu hii sio bongo.bongo bwana wanazidisha..yani mie harusi yangu kidogo nilie maana walivong`ang`ania kujaza miuaaa khaah!yani miua kibao usoni mipowda kibao basi kero na meza eti wanijazie mivinywaji kibao..ya nini bwana?mi nilitaka kitu simple tu meza kaduchuduchu simple vinywaji vichache maua machache ila km kawaida ili ionekane imependeza mipambo kibao sijui mitaa taaa utafikiri christmas ah neway!

Anonymous said...

haha mdau hapo juu umeniua mbavu kila kitu kibaooo hihihi

Anonymous said...

hii naona ilifanyika wakati wa summer, maana Milwaukee sasa hivi hilo li-baridi na snow now way mtu utatoka nje na gauni la wazi. all in all hongereni

Anonymous said...

yani nimefurahi kweli kugundua kuwa nina wenzangu nao hawapendi style za kibongo, its too much na zimepitwa na wakati. Tatizo tunapenda sana kuigana, watu na aibu zao wanaamua kuweka wapambe, yani kila kitu sare, kitchen party, sijui send off hadi hiyo harusi yenyewe.
yani ukiona picha hadi unachukia. Unajiuliza kwani bi harusi ndo yuko wapi? manake hadi nguo zinafanaa, kisa ni aibu ambayo sasa ishakuwa style.
Mambo mengine ndo kama hayo maua kibaoo, yani too much
tubadilike jamani

Anonymous said...

haa nimependa pia style ya nywele simple,sio madude kibao kichwani!!!

Anonymous said...

Harusi imependeza, wanaoponda style za bongo ni kwamba hizo ndio ID zetu, ndio zinatufanya tuwe wabongo, ndio maana kwa kuangalia tu picha unaweza jua harusi ilifanyika bongo au la! au siyo wabongo? hahahaaaa wote tukifanana duniani sipata boa, ni sawasawa na kuwa na bustani kubwa halafu una maua ya aina moja tu.

Anonymous said...

Wapambe wa bi harusi ni wabongo jamani, mmoja ni mdogo wa bi harusi na wawili ni binamu zake. Maid of honor ni rafiki yake kipenzi. Maumbile ya nyuma ni kujaaliwa kwa wabongo Mungu alitupa.

Anonymous said...

Harusi ya marekani ukitaka msitu wa marose labda uwe na hela, mtu wa kawaida huwezi kuaford ndio maana harusi za ulaya zinakua simple,ukweli mfuko unagomba.Ukitaka upambiwe harusi yako kaifanyie bongo utafurahi mwenyewe. Nyie mnaosema hampendi msitu wa marose hizo ni choice zenu, harusi za bongo kwa kweli zinapendeza sana. Furaha ya harusi inakuja mara moja katika maisha why not overdue.

Anonymous said...

Harusi ni nzuri sana kwa mavazi. Tuombe Mungu pia zidumu. Amandla.

0 comments:

Post a Comment