INDIAN DRESS...FOR HINNA PARTY

HAYA WADAU MLOKUWA MNAJIULIZA KWENYE HIYO HINNA PARTY MTAVAA NINI?!! HAYA IDEA NDO HIZO IKIVAA SARII TWENDEEE....SHARARA ...NDO KWENYEWEE.....PANJABIIII MWAKEEE

ITAKUWA TAREHE::29 MAY
THEME:: KIHINDI.....mambo ya Urojo,mix, bajia
MCHANGO::20,000
VENUE::MITAA YA BEST BITE
BURUDANI::KIBAO KATA ,RUSHA ROHO NA kuch kuch kwa mbaaaali!!

USISAHAU KUJIACCESORIZE NA BANGLE.....kama mashost hapa

panjabi
sharara
sariii

wasiliana na khadija mwanamboka 0713 551077, Shamim Mwasha 0784 418941 ,Jay Dee

0 comments:

Post a Comment