TAUSI LIKOKOLA

HUYU NI MWANAMITINDO WAKIBONGO ANAISHI MAJUU ALIKUWA UJERUMANI...NAONA SASA HIVI KATUA MAREKANI......NILICHOGUSWA NACHO NI YEYE KUWA NA WATOTO WAWILI KAMA ANAVYOONEKANA PICHANI NA BADO...MWILI WAKE AMEUMAINTAIN.....TOFAUTI NA KINA SIE MATUMBO YAMETUSHUKAAA...SIRI YAKE NAE NAITAKA NI MAMBO YA UGHAIBUNI??, MWILI WA MTU?? AU NDO UFANYE KAZI UACHE KAZI YA KUFANYA DIET NA MAZOEZI KWA SAANA????

vile vile Tausi ni mtunzi wa vitabu kuona na kununua vitabu vyake ingia
HUMU

0 comments:

Post a Comment