Leo nataka niwape tip ya BIO OIL ambayo mbali na kuondoa kama si kupunguza michirizi na makovu piiiiia hufanya ngozi kuwa ng'aaavu.
mimi huwa napaka BIO OIL mwili mzima hii naitumia saana badala ya lotion ukizingatia hili joto la dar kupaka lotion au cream mchana inakuwa msala
hivyo usiku napaka shear butter , lakini asubuhi au mchana napenda paka BIO OIL kwa ngozi yenye nuru na ng'avu....hata ukivaa nguo ya wazi ngozi huonekana yenye rutuba na ng'avuu .
ANGALIZO:: HAYA KWA WANAMITINDO AU SHOSTITO WAVAA VIMINI JIKANDIKE BIO OIL YAKO UJING'ARIE AU SIKU UMEJISKIA VAA VIATU CHA WAZI JIPAKE BIO OIL KUEPUKANA NA MIPAUKO YA MIGUU,hii hata kwa shemeji zangu wasopenda lotion inawafaa
NA SASA UTAZIPATA 8020 FASHIONS.....NI KUTOKA SOUTH AFRICA
0 comments:
Post a Comment