NEW ARRIVAL....@ROZZELLA BOUTIQUE & TAILORING MART


HAYA MABINGWA WA KUSHONA NAKUUZA VITENGE VYA AINA MBALIMBALI PAMOJA NA MABAZEE PAMOJA NA MASHATI YA KIUME YA UKWELI...SASA WAMESHUSHA MZIGO KUTOKA UINGEREZA NA WEST AFRIKA.....WAHI MAPEMA UKAJICHAGULIE

WANAPATIKANA::KINONDONI A (MANYANYA) KARIBU NA MAHAKAMA YA      MWANZO  AU TUMAINI UNIVERSITY
WAPIGIE:: +22- 2760591
0717 878756




                                            MATENGE YALIVYOPANGANA


                                                     KITU READY MADE!!


                  HICHI NI KITAMBAA CHA DIRA BIBI KIMETOLEWA KIVAZI CHA USIKU
KUNA BAZEE NDO HIZI... UNAFIKA UNATAKA SIZE UNAPEWA UNAJARIBU UNALIPIA UNAONDOKA.....kitu na box
MSIOWEZA JIFUNGA KAMA MIMI HIZI MAZEE ZIMESHONWA MUUNDO WA SKET, NI KUVAA TU MIE NILIKUA NAHOFIA LIKINITEREZA SASA TUMERAHISISHIWA NI KUPENDEZA BIN KUNOGA SHOST
 MASHATI YA KIUME KITAMBAA BROCADE FABRIC YA WEST AFRIKA achia ile ya kike ya kichina.....Lol mwaka huu NTAJUA VYOTEEE

                                              MZIGO WOTE HUU UTAKOSAJE SASA?

ENJOY SHOPPING WITH ROZELLA

1 comments:

Post a Comment