HAYA WADAUUU...MLIOKUWA MMEMISS MAMBO YA 8020 FASHIONS...MZIGO NDO HUO NDANI YA NYUMBA...SI MWAJUA MAMBO YA KIMYA KINGI KINA MSHINDO?!! HAYA KATIZA BIBI MAPEMAAA UONDOKE NA VIKOTI VYA OFISI, BLAZER,MAGAUNI, JEGGINGS,TOPS BILA KUSAHAU SHRUGS...NA SI MWAJUA TUMVUA HUTU LAZIMA UPATE KITU CHA KUTUPIA HAPO KATI? jiongezee confidence kwa kujicover kidooogo HUKU UKITAMBULIKA KWENYE SWAGGGA!!!
TUNAPATIKANA:: KATI YA SINZA MORI NA MAPAMBANO,TUKIANGALIANA NA PETROL STATION YA GBP, MADUKA YA BLUE.WASILIANA NASI:: 0784 418941 AU 0767 418941...
HUDUMA YA MPESA::0767 4189411(MZIGO TUNATUMA HADI MIKOANI)
BLAZER ZA DOT DOT
GAUNI AINA ZOTE MAMA OBAMA STYLE......DRES SUT...BILA KUSAHAU NA ZA MZUGO |
STRIPS NA DOT DOT BIBI KIVAZI KIPO
DOT DOT
ZIPPED DRESS .....
POCHI HIZZO KUNA BROWN NA BLUE YAKEEE...ni ngozi ya nyoka ee
top imetiwa swaggga za tai kama vile haitoshi wakatupia na SEQUINE HAPO KATI
ni strips...tai mbele...lace nyuma ....ni full swagga
jeggings size ndogoo
MAPIGO YA TOP YA TEMBELE HAPO JUU
TOP STRIPS IMETUPIWA NA JITAI |
SHRUGS......NDEFU KWA FUPI RANGI ZA blue, kijivu , nyeupe kwa nyeusi
shrug fupi
TOP NDEFU.... |
MAMBO HAYA KAMA YALEEE YA RIHANNA ...yake ilikuwa ya kijani....hebu mwenye ile mpicha anitumie tuoneshe waliokuwa hawajaona
BEGA LEGE
MAX DRESS....NA AINA TOFAUTI ZA SHRUG KWA WASIOPENDA TEMBELE STYLE
HALI YA HEWA INARUHUSU....ka shrug ka swagga bibi we.....kama si kujicover kwapa kwa wasioweza vaa nguo za kata mkono
dorothy perkens.....ndo aliye2 inspire na kivazi hiki ..sisi tukaibuka na sket KT za mnyamaaa
clutches....kila rangi kila style
wallet...kila rangi tofautii
MAMBO YETU YALEEEEE.......YA FULU SUTIIIII .....YAPO KILA SIZE.....
usiogope hata beyonce na KIM K wanazitingaaaa...KWA KWA AJILI YA KUFANYA NGUO IKUKAE VEMA TU SHOST.......
NOTE::TOPS zinarange kwenye 25-65,gaunin 55-160,shrugs 45,fulu suti 55,pochi 40-120,jeggings 65
NOTE::TOPS zinarange kwenye 25-65,gaunin 55-160,shrugs 45,fulu suti 55,pochi 40-120,jeggings 65
0 comments:
Post a Comment