RED CARPET.....STYLE MOTOMOTO......MARCH......

KAMA KAWA FASHION SHOW ILIFANYIKA DOUBLE TREE HOTEL , SHOW HII SI YAKULIPIA NI YA MWALIKO ILI UPATE KUALIKWA DUMBUKIA TMH BLOG UTAKUTANA NA HII EMAIL 
::info@mitindohouse.org 
UWAANDIKIE NAO WATAKUWEKA KWENYE LIST YA KUHUDHURIA SHOW HII YA APRIL AMBAYO ITAKUWA YA MWISHO KWA MSIMU HUU
KATIKA SHOW HII NI ZAIDI YA KUONA KWANI UTAWEZA NUNUA BIDHAA ZINAZOONESHWA NA KUUZWA KUTOKA KWA WADHAMINI WA SHOW HII YENYE NIA YA KUTAMBULISHA KAZI ZA WABUNIFU WA NYUMBA.
WAWEZESHAJI WA SHOW HII NI 
VODACOM NA REDDS PREMIUM



























Up coming designer
















                                         

                                      NILIKOGUSWAAA


                                         





                                            

0 comments:

Post a Comment