MIMI NINA nina mtoto yangu anatarajia kufikisha miaka mitano mwezi ujao , sasa nilikuwa naomba theme au idea za kumfanyia kabirthday party . hapa nishaona kadhaa naomba nikumbushwe ili niweze hata kuchagua itakayo nipendeza natanguliza shukran kwa zeze na wadau
Mum
Hi Mum....
hukusema kama mwanao wa kiume au kike.....cheki hizi picha za Malaika yeye alikuwa na theme ya THE PRINCESS AND THE FROG .wewe unaweza mtumia barbie, hannah Montana au dora nk
Birthday Girl alivaa nguo kuendena na them...kama anavyoonekanamapambo nayo yako...unaweza agiza au pita maduka ya vitu vya watoto
JIUGONJWA nalo na hata give aways kuendana na theme kama ilivyokuwa kwa Malaika watoto wakike wapatiwa cup cake ambayo ilikuwa na pete ya binti mfalme ....huku wa kiume wakipewa pete yenye kichura
MAMBO YA NACKY HAYA...hongera na ufanye uanzishe hii huduma Coz unayaweza
KAMA NI WAKIUME
cheki hii link for the idea then angalia mwanao anapenda katuni ipi kisha MTANDAZIE KUANZIA CAKE MAPAMBO NK kama ilivyo kwa Ayman na Baby Duck
http://8020fashions.blogspot.com/2010/08/ayman-birthday-party.html
http://8020fashions.blogspot.com/search?q=winnie+the+pooh
HAYA NA WADAU WENGINE MPENI IDEA
0 comments:
Post a Comment