ETI!!!!

Habari za leo Shamimu??
Naomba kama unaweza kunisaidia hili jambo. Nasikia huwa kuna akina mama ambao wanaweza kumhudumia mtu akijifungua halafu unawalipa. Kama una contact zao naomba
Natanguliza shukrani.
Imma

0 comments:

Post a Comment