NAULIZA!!

ETI KUNA CHAI ZA KICHINA ZAUZWA KARIAKOO AMBAZO UKINYWA PAFU MBILI UMEESHIIBA SIKU NZIMA, HUNA HAJA YA KULA MICHAPATI 6 AU RUNDO LA MITAFUNIO (VISEBEO)

JE NI KWELI ZIPO AU FIX NA KAMA ZIPO SI ZITAKUWA NZURI SAANA KWA DIET AU MNASEMA WADAU....Mwenye iyo tetesi tujuzane, kizuri kuna la nawana kibaya  mtupie mbwa

MAMA IQRA

0 comments:

Post a Comment