BED ROOM PARTY!!....Kanga moko laki si pesaaa ndaniiii!!

HAYAA MASHOSTIIII.....MAMBO NDO HAYOOOO UNAAMBIWA HAYAGAWANYIKI KWA MBILI HAYA...........KAMA KUFUA WASHING MASHINE ITAFUA,KUANGALIA WATOTO ,KUPIKA  DADA ATAFANYA LAKINI KWA BED NI WEWE TU NDO WAHITAJIKAAAA.....HAYA MUJEEE MKABORESHWEE UNAAMBIWA KANGA MOKOOO WATAKUWEPO KUKUONYESHAAA NYONGAAAA.......ME NISIWE MCHARUKO NAMI KUELEZA MAMBO HAYA...NAKUKUMBUSHA TU MAMBO HAYA UJE NA SHOGA AKO MSOGOE
WEWE UJE UTOJI HALL 
SIKU YA JUMAPILI  YA TAREHE 13 MARCH, MUDA WA KUANZIA  TISA ALASIRIII. KADI ZINAPATIKANA MARYLAND BAR ,MWENGE NA SECKY HOUSE OF FASHION  OPP KINONDONI MUSLIM....
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII 0713 210 988

NOTE:: TIKETI ZINAPATIKANA  DUKANI 8020 FASHIONS
kivazi dira jepesiiii au max dress

0 comments:

Post a Comment