NI BANK YA CRDB ....IMEZINDUA KADI YA TEMBOCARDMASTERCARD DEBIT CARD AMBAPO WEWE MTEJA UTAWEZA NUNUA NA KUDROW PESA SEHEMU YEYOTE DUNIANI INAYOTUMIA HUDUMA YA MASTERCARD.
YAP YAP.......UKUMBI ULIPAMBWA UKAPAMBIKA NA...RANGI ZA CRDB NDO ILITAWALA
E. KIBONDE NA BABY KABAYA NDIO WALIOTUONGOZEA SHUGHULI
BURUDANI ILIKUWEPO KUTOKA KWA WATOTO WA THT......SAMBAMBA NA MJOMBA BAND!! MZEE WA KUSAKA NAULI
Mkurugenzi Charles Kimei ndo alituzinduliwa jukwaakulikuwa na mwakilishi kutoka MASTERCARD.kwenyewe huko |
Mh Mustafa Mkulo alikuwa na neno la kuongea
UZINDUZI ULIKUWA NA SWAGGA ZAKE
YES!! KWA MSISITIZO ILIZUNDULIWA NA WAZIRI WA FEDHA MUSTAFA MKULO....siwa wajua mambo ya fedha mwenzie fedhaaa?!!
waziri alipatiwa kadi yake ya TEMBOCARDMASTERCARD.....sambamba na PASSWORD YAKE...ilikuwa pambe!! |
ZULIANIIIIIIII
BACK TO AFRIKA ilizingatiwaa ;)
ZULIA JEKUNDU NA UBAO ULIPAMBWA NA NA TEMBOCARD MASTER CARD
KIONJOOO!!!
MISS TANZANIA 2010 ,GENEVIEVE NDIO ATAKUWA ANAUZA SURA KATIKA MABANGO YA TEMBOCARDMASTERCARD....Inanoga eee mashost ni full kushop...hakuna haja ya kubeba pesa ni walet yako inayofunga kwa raha zako(tuepuke na mambo ya kubeba wallet haifunguki ukiulizwa nini...eti nimeweka pesaaa)......kitu MASTERCARD ;)
0 comments:
Post a Comment