BEAUTY TRENDZ YAWALETEA PUNGUZO LA BEI KWENYE PRODUCTS ZAO ORIJINO ZA AVON! UPTO 30% LESS FROM THE ORIGINAL PRICE! MAMBO YA FOUNDATIONS, BLUSH, BRONZERS, EYE SHADOWS, MASCARA AINA TOFAUTI, EYE LINERS, LIPSTICKS, LIP BALMS, RANGI BOMBA ZA KUCHA,CUTICLE OIL, PEARL SHINE, HAND CREAMS, PERFUME NA PRODUCT ZA MIGUU KINA FOOT SOAK, FOOT SCRUB NA FOOT CREAM!! HAINA HAJA YA KWENDA TENA SALON KUSUGUA MIGUU!!
PIGA SIMU:: +255 0787-761073
WATEMBELEE:: www.beautytrendztz.blogspot.com SHOST WEWE WAWEZA JIBEBA UKAENDA SALOON SHEMEJI JE?, KUNA MASHEMEJI WENGINE WANAJISTUKIA HAO KWENDA SALOON HATA KUKOSHWA KICHWA BAADA YA KUNYOA ASIKWAMBIE IYO SCRUB ITAKUWA KUSUGULIWA MIGUU, NA SIWAJUA WENGINE 'genye' ZAO ZIKO HUKO......nisiongee saana kifupi nilikuwa nakwambia nunua hii umtengeneze shemejiiiii miguuuu....ATACHANA SHUKA NA MAGAGA shauriloooooo ;)
HAKA KUWA NACHO UKATUPIE KWENYE POCHI MTOTO WAKIKE HATA UKIMALIZA NAWA BAADA YA LUNCH.....ulainishe mkonooo |
jicho ndo kila kitu mascara ndo iyoooooo......watu wanakatia macho BIMA itakuwa weye kuinunulia MASCARA?
KILA SIKU MALALAMIKO KUCHA ZAKATIKA HAYA DAWA IYOOOO |
RANGI ZA KUCHA ZA UKWE'E....WE MWITE TU YULE KAKA WAKIKAPO ILA MTOLEE RANGI ZAKO ZA KUCHA ZA AVON...... |
0 comments:
Post a Comment