BRIDE::LORNAMATRON::ARIELTHEME::AFRO INDIANVENUE::INSTANACOLOR::MAROONMC::MISHI B |
UGONJWAAAA HUOOOOO
|
|
|
BARKA MUHIMUUU KWA CHAMPEN
BI HARUSIII LAZIMA AFICHULIWEEE NA MWENYEKITI AUNT HUBA
|
UBUNIFU BIBI UBUNIFUUU.....HII NI PROJECTA AMBAYO ILIKUWA MAHSUSI KWA KUONESHA ZAWADIII ZA BI HARUSIII......KISASA MAMBO YA KUBEBESHANA MIZAWADI KUIJAZA UKUMBINI...KUMALIZA SEHEMU YA WAALIKWA KUCHEZA...HAKUNA VINAPIGWA PICHAA TU NA WAKATI YA KUTOLEWA ZAWADI MNAHAMISHIA MACHO KWA SCREEN .....UPO SHOST?!! |
|
MAPAMBO.....NILIPENDA IYO CROWN ILIYOPAMBWA HAPO KATII ......NI SWAGGA TU!! |
|
|
thank you mama i'll never forget u for theeee ...malizia always kamziki haka ndo kanadundwaga kwenye hii sekta ya zawadi kwa mama kutoka kwa mwanaaa back to afrika ndo mpango mzima...Lorna tuonane upendezee ;)
PASPOT SIZE!!
MADINI YALITAWALA......ilikuwa dress code ama? ;)
MADINIIIII
| | |
CHEZEYAAA ROZELLA
0 comments:
Post a Comment