INGIZO JIPYAA....BLAZER

YAP ZIKO ZA SWAGGA TOFAUTI NA WAWEZA IVAA KOKOTE NI WEWE TU UTAKAVYOIPANGILIA HADI KWA RED CARPET WAWEZA ZUKA NAYO NI WEWE TU JINSI YA KUJIKWATUA NAYO
 NAPENDAGA  SAANA KIM K ANAVYOITINGA
YAP NA HII HALI YA YA KIMVUA MVUA NDO YENYEWE, HAPA BONGO PIA ZINAPATIKANA, WE KATIZA QQ TREND UJISAVIE RANGI , STYLE NA SIZE YAKO DUMBUKIA HUMU KUONA MAMBO  MAPYAN YAQQTRENDZ

0 comments:

Post a Comment