naonjaaa chumvi kama imekoleaaa.....;)




                      ilikuwa hata kama hujashona sare ujitahidi kwa namna yoyote ile....uiaccesorize iyo sare

 hii ndo tulikuwa twapewa mlangoni.....mbona ahsante kwakunivisha maana mie sivaagi hii kitu....nini?
                                                 Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
    yes jiugonjwa lilikuwa kulingana na kitu anachohangaika nacho kila saa...hii ni simu na fungua ya gari chengine?!!.....usibonyeze kidude

 red carpet lilitazamika hivi....hiii KUMAAAAAnisha kuwa....hata uje umepaniaje.....im ze bride ;) !!

 hahahhahaha mburuzooo siku hiyo ilikuwa kitu cha kawaida mnoooo....sijui walipania mfunika bi harusiii......WAWEZE WAPIIIIIIII.......hafunikikiiiii ;)
                 vipandiko vya kiroyal kitchen party vilikuwa style hizi

0 comments:

Post a Comment