HARUSI TRADE FAIR!!

KIJIWE CHA 8020 FASHIONS



JOSSYANE toka USA, AKISINDIKIZANA NA SYLVIA WA HOMEDECO...WALIPATA WASAA WAKUPITA KIJIWENI NA KUWAPA SOMO LA MAKEUP NA MAPAMBA WADAU WALIOKUWA WANAKATIZA KIJIWENI
NIRVANA WALIPATA WASAA WAKUONGEA NA KHADIJA MWANAMBOKA KATIKA KIJIWE CHA 8020 FASHIONS

NILIKUWA NASHINDA HAPA MIE NAKUONJAA MAUGONJWA KADIRI NILIVYOWEZA......wink

.
KADI...ZILIWAKILISHWA NAAA......



GRM......WALIWAKISHA UPANDE WA MITAMBO YA VIDEO NA STILL PICTURE
NIRVANA NDO WALIKUWA WANARINDIMA HUMU ...EATV NDO WALIKUWA WADHAMINI
kulikuwa na mpaka piko...shostito wangu Munny cutie...akajichonyaaaa

Desgner Gabriel ambaye hudesign....vitu vya kimasai alikuwepooo,...Mie niliguswa hapo huuuuu kwenye GLADIATORZZZZZZ ...nimeshapress my order.....

Shear illusion ilikuwepo kuwakilisha product za uremboo, shear hair & beauty Magazine nk
FM EXPRESS EVENT...NDO WALIONIPAMBIA KATIKA KIJIWE CHANGU CHA 8020 FASHIONS....thanks Monica & Phina
Cathy decor

vikaja vijiwe vya mavazi


GRACE MAMA WA GRACELLA AKIJIANDAA KUINGIA KATIKA FASHION SHOW

VILIWAKISHWA NA GRACELLA BRIDE WARD ROBE
MUSTAFA HASSANALI
TALLY KASSIM.......miss wamiaka hiyo huyu

KIFUPI ILIPENDEZA NA WATU WALIKUWA NA MUAMKO...SHUKRAN SAANA MUSTAFA KWA KUNITAMBUA NA KUNIPA NAFASI YA KUONESHA KILE NILICHONACHO...KILA LA KHERI HII ITAKUWA KILA MWAKA JAMANI, WADAU WOWOTE WENYE KUHUSIKA NA MASUALA YA HARUSI MSISITE KUJITOKEZA MWAKANI

0 comments:

Post a Comment