TANGAZO LA KAZI

Je unauzoefu wa kuuza nguo? sisi tunauza nguo za West Africa za wanawake na wanaume, tunatafuta watu wenye elimu na uwezo wa kuongea vizuri na wateja, watakao enda kwenye maofisi na sehemu za starehe kuzungumzia nguo zetu. Kwa maelezo zaidi tupigie simu 0658404088

Asante sana

Nina

0 comments:

Post a Comment