Hii mie naiita bodysuti.....huvaliwa saana nawadada wenye asili ya kiasia ambao wao ni nadra saana kuwaona wamevaa nguo inayoonesha mwili wao...hivyo kwa wale mafashionista wanaotaka watokee nanguo ambazo ni za wazi,,,huzitinga hizi bodysuit zinazomech na nguo...ili watokeee...Hivyo basi wadau nawasilisha kwenu hii style toka Asia, wengi tumezoa za ulaya zaidi.....huku nako wamoooo!!
0 comments:
Post a Comment