INGIZO JIPYA ........HEADBAND ZINAPATIKANA 8020 FASHIONS

HIZI ZINAPATIKANA 8020 FASHIONS......karibuni

Mie huwa naitingaa style hiiJudith ye anapenda kuivaa hivi
Vanessa ye analipuka nayo kihivi
Tatiyana ye alivaa hivi
Nuru the Light ye hujilipua nayo kihivi
Mish B ye alilipuka nayo siku yake ya Send Off Upo SHOSTI??

Inavalika kokote na yeyote ni wewe tu utakavyoooo.....je una yako? iibukie 8020 FASHIONS kisha piga picha nitumie shamyomy@yahoo.com

0 comments:

Post a Comment