MJADALA:: KURUDIA NGUO
NILIKUWA NATAKA KUHOJI NYIE MAFASHIONISTA , JE HAIRUHUSIWI KURUDIA NGUO, WENZANGU MKISHAVAA MNATUPA? AU MNAGAWA?
KAMA NGUO HIVYO VP KUHUSU VIATU, POCHI??!!
HAO MACELEBRITY TU HUKO MAJUU WANARUDIA NGUO ITAKUWA KINA SIE...,
NA TUACHE KUDANGANYANA,
HAKUNA MTU ATAKAENUNUA NGUO YAKE AMEIPENDA THEN AVAE MARA MOJA TU UNLESS KAMA ULIAZIMA KWA MTU MWENYEWE ANAITAKA UMEIREJESHA!! MIE ILE NGUO YANGU YA HARUSI TU INANIUMAGA HADI LEO SINA TU SEHEMU YA KUIVAA TENA, NA NAHISI KWA SASA INANIBANA ILA NIKIPATA MTOKO WAKUTOKA NAYO MTANIONA NAYO TU NISHAANZA KWENDA GYM ...wink EHE TUAMBIE WE NGUO UKISHAVAA MARA MOJA UNATUPA AU?!!

LADY JAY DEE ANA KABATI LIMEJAA NGUA HADI ZENGINE ANAZISAHAU....LAKINI ALIREJEA NGUO KATIKA PHOTO SHOOT YAKE
HIVYO WADAU KAMA MNAPENDA NGUO ZENU ZIVAENI HATA IKIBIDI KWA WIKI MARA MOJA SIO KESI, ILA TU MKUMBUKE KUZIFUA....wink
0 comments:
Post a Comment