SARAH's KITCHEN PARTY

BRIDE:SARAH
COLOR:COLOURFUL
MC:CHICHI
VENUE:HARIETH'S PLACE

BABY GIRL
Hapa alikuwa anaaga atoke..Ila mie ndo na Introduce to u ...my one and Only Baby Girl SAAARAAHHHH!!
Sio kwamba alimwagikiwa na kinywaji...LOL...NI MAMBO YA ALLY REMTULLAH HAYA ..DESGNER WA UKWELI...
mkono wa ALLY REMTULLLAH....
LOL....kama ndo umetangazwa Miss world...LOL
Baby Girl nae alikatiza R.C......
That cute smile!!!...smile baby girl its ur day
Hahaha aliivyokuwa anakata kiuno ndivyo na mkono ulivyokuwa unakoroga mwiko...Upo hapooo mambo yote J5 kibao kata na mipako ya hinna
mapambo...COULORFUL......!!!
JICAKE....yallllllaaa nafwaaaa
BABY GIRL KAZI HIZO ZINA MAANA ZAKE OHOOOOOO...mambo yote kwenye kibao kata j5 ndo ntakupa darasa
Alipoingia tu alitufungulia muziki...hapo alikuwa anacheza kisomali...watu tulikuwaaa wapoleeeeeeeye2 machoooo
Nifike sehemu...nikose red carpet nitataNdika hata GAGULO....chezea mimi!! ....LOL
RED CARPET!! (R.C)
R.C
R.C
R.C
my parent mate MAMA sallyrose' wink' na nduguye waliwakilishaa
Champen zilikuwa kuuubwa hadi munira ilimshinda ibeba alikuwa anmuita twin wake Tahiya aje msaidia...lol!!
R.C....... waliniambi they r twins from from different Father....Teh teh
Kila mlionalo mwasema na hili pia mseme na ukisema sema kama wasema!!
Na hawa ndo walikuwa wanakaribisha wageni.....that my Ash!!!
ah Nargis weeee huachiii....sambamba na MC CHICHI MAMA LAO
BABY GIRL akiwa na mpambaji wake ..Rehema
Mie na Da khadija kama kawa KWA RAHA ZETU!!
DADA HARIETH aliyetukaribisha kwake....thanks.....hope hatukuharibu ukoka!!
hao ni wanakamati wakipishana kwenda mpa kampani BABY GIRL....Ni ubunifu tu WADAU
Da khadija weee.....mamaaa na TMH
Karibuniiii wageni!!
Red carpet muhimu bibi!!
Hhahahah mduara kama kawa.....MAMBO MENGINE JUMATANO KWENYE KIBAO KATA NA HINNA PARTY...ushaalikwa weye?!!
KAMATI YA UFUNDI!!....umeipendaaa...tukodishee...LOL!!

0 comments:

Post a Comment