SAFINA's KITCHEN PARTY!!


BRIDE::SAFINA
COLOR::BLUE & YELLOW
VENUE::WATER FRONT
DESIGNER::ALLY REMTULA
DECORATION::FM EXPRESS EVENT & SERVICES LTD
MAKE UP:: REHEMA
PICTURES:: AR PRODUCTIONS



naomba niibatize jina la ROSE DO!! wink
Ni mbwebwe tu zilizokuwepo ukumbinii ndo zilimfuraishaa
Ugonjwa huu niliusimamia Mwenyeweeee......shurti una zabibuuuu


kila aliyeingia aliwazadiwa zawadi ya CHUJIO...unajua maanayake??!!
UKUMBI ulimpendezeshwa na FK...HAKIKAA PALINOGAAA

Sare ya kiua kichwaniii
hii ndo ilikuwa sare yetu....ALIYEPACHIKA KICHWANI TWENDE WENGINE WALIVITUNDIKA NGUONI......ilinogaaaa
Mamitoo akiingia ukumbini...bibie akipita na kitezo hapo kumtoleaa HUSDAA
Nyuma
mbele
Mambo ya ALLY REMTULLA HAYA
Bibi Harusi alitutuza....
Sasambu sasambua ilikuwa kama kawa ikiongozwa na Hamida "Mama wa sarakasi"
TCC ilikuwa full timuu na mama lae Sophie


Mduarishoo ulikuwepo kama kawaa

Mc Chichiii akikamuaaa...kama kawaaa




Nilivutiwa na Hair do

Wadogo zetu
mwenyekiti akiwashukuru na kuwakaribisha waalikwa
MAMBO YA RED CARPET

















Tulitambua uwepo wa Balozi wa Japan ....Mama Sijaona


Jamani huwa natamanigi lace material...ila nikawa nakosa mishono huyu alinikunaa utasema MniG









Da khadija ndo aliyetupikiaaa



Nimegundua kivazo cheusi kinafit kokote....muhimu kuwa nacho wadau
Mwali wanguuu Nana ,Naona mambo si mabayaa...wink
Mama wa chases No ....na kati ya kariakoo



Dada yetu Mam



0 comments:

Post a Comment