SWAGGA ZA POZI ZA PICHA!!

HAHAHAHHAH nimecheka saana nilipopata hizi picha zimenikumbusha zamaani mnapiga picha ya familia unaweka dole mama anatia unoko hakuna kuti dole unajificha unaweka dole kwa cjini kasheshe picha ikitoka mama anakumind umewaharibia picha...enjoy

Sio kama anapiga danadana ndo pozi lenyewe hilo....wink
Imagine aliiendea studio...halafu mbaba mkubwaa....sijui watu wa wapi hawa msiseme ni waTanzania plzz

lol....TLP...upo Mr Gonga
yaani hili pozi lilikuwa lazima sox ionekane ...si ndo mambo ya kumechisha sasa...ukute na chupi ni red.....wink
No cavityyyyyyyyyy!!!

hodari wa kumechishaaa

huyu ni Papaa mkulu kulu

nae huyu hodari cheki kambaza viatu...lol

picha:: thanks Bi harusi Nuru

0 comments:

Post a Comment