AMETINGA BLAZER YA KITENGE....ALIYODEZAINIWA NA DESGNER ROBI MORRO 'MAPOZI DESIGN'....UMENIGUSAA MAA!!
INAPENDEZA MNOO...TUKIWA WAZALENDO ZAIDI...JE WE UNA KIVAZI CHAKO ULICHOPIKIWA NA MBUNIFU WA NYUMBANI?? TUMA VIA shamyomy@yahoo.comALIYEGUSWAAAA?!!
0 comments:
Post a Comment