EVENT::BABY SHOWER
THEME::ITS A BOY
VENUE::MANGE'S MUM PLACE
COLOR:: WHITE
Ugonjwaaa...ulikuwa wa KITUMBO...kinaagwaaa...yam!! yam!!
Akaumegaa
ITS A BOY!!! theme ilinogeshwa style hii
na hizi ni zawadi tulizoondoka nazoo...icho cha kati ni mshumaa unanukiaaaa
hii ndo ilikuwa kadi ya mwaliko
huu mzigo ndo tuliukuta mezani na hadi chakunywea Panch kilikuwa Its a Boy!!
ukiingia mlangoni unabandikwa hizi stika...za Its Boy!!
Hadi Napkin ilikuwa Its a Boy
Mapambo blue....baloon its a boy!!
NA PIaaaaaaa kulikuwa na banner inatuelezaa Mange ana wakiumee
mashost walijipa rahaa kama kawaa...alhajiiiii, rusha roho na hata mfalme wa amani zilichezwaaa champen zilifunguliwa na mashosti wakagongesha glass kwa ajili ya mtoto na kumtakia Mange safari njema....
cheerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrss!!
Mchezo mwengine ulikuwa wa kuotea tumbo Mange ukubwa ake hivyo wakata uzi na kwenda mpima...Mama Nayla alibahatika naona alikumbukia tumbo lake...wink
Lol!! nilipoona mchele niliwazaa...nikasema haya mimba wabebe wengine mchele tulishwe sie.....kumbe ni kagame tu, ndani zinamwaga pini unafumba macho kusitafuta anayepata nyingi ndo mshindi
Khadija akihangaika zisaka Pini huku Nacky 'Mkweee' akimhesabia
kamati ilifanikisha Baby Shower....Mko Juuuu
washindi walipatiwa zawadi zaooooo
Jacque alishinda mara mbili nadhani ni vile nae Anatarajia....
RED CARPET.
iliwakilishwa na blue background...wink
Dressed by Lulu ,Vikolombwezo toka Viatuziiii
NILIKOGUSWAAA
Mama D...jiua hiloooooo...
Niliguswaaa nauNYWELE wa Chaya 'Mamaa wa T444Z'....unywele unajielezaa hakuna kipisi hapo ni mambo ya T444Z |
Sticker iyooooo...nimeguswa na hayo madini mbali na perfum...mie napendaa saaaaana dhahabu....huwezi amini naendaga window shopping kwa sonara...nione tu na kujua nini kipya roho initue
ALIYEGUSWAAAAA
0 comments:
Post a Comment