MJADALA::NANI ANASTAHILI KUNUNUA VITU VYA BI HARUSI?!!


MTARAJIWA ANA SWALI

MIMI NI BI HARUSI MTARAJIWA NA HIVI KARIBUNI NATARAJIWA KUOLEWA NA NIKO KWENYE MAANDALIZI , SASA MCHUMBA WANGU AMENIKODISHIA NGUO YA HARUSI TU NA KUNIAMBIA KWAMBA VITU VYENGINE KAMA VIATU,UA LA KUSHIKA,  NA MAPAMBO KWA UJUMLA NITAFUTE MIMI MWENYEWE

SASA NACHOTAKA KUJUA JE NI SAHIHI KWA MCHUMBA ANAVYOFANYA, JE KUNILETEA HII NGUO KANIPENDELEA  TU KUWA NILITAKIWA NIANDAE MIE KILA KITU AU AU ALISTAHILI KUNINUNULIA KILA KITU??!!

SWALI KWA UFUPI::VITU VYA BI HARUSI NANI ANATAKIWA KUNUNUA, YEYE MWENYEWE AU MUME MTARAJIWA??

0 comments:

Post a Comment