IMMACULATE KITCHEN PARTY!!

BRIDE::IMMACULATE RUGAIMUKAMU
COLOR::BROWN& GOLD
VENUE::MAKUMBUSHO
DESIGNER :: MANJU MSITTA
MC::ADELLA



NILIPENDA ALIVYOVAA....HICHI SIJUI NI AINA YA KITAMBAA AU GUNIA...INAWAKILISHA UTAMADUNI ZAIDI......

NA BI HARUSI MWENZIE MKIA NA MKIA ULIKUWA WAKUTOSHAA
ZAIDI YA MTANDIO KAMA SARE..PIA WAALIKWA WALIONDOKA HII...ni ubunifu tu

hii Cake ya Orxy imekuwa maarufu siku mbili hizi...nimependa hii ilivyoambatanishwa na hivi vikapu vya matunda


 Bi harusi si mkaazi wa hapa...hivyo zawadi zake zilikuwa za design hii...umeonaje hii mdau
                                                 hata wanakamati walitoa zawadi aina hii hiiii

                                           Da Ted.....watoto wa Moro Seko Hostel mpo!! wapi Haica Kimambo...lol

                                                    nilikunwa na  hichi kitenge....na kimekaa mahala pake
                               MC Adella ana mbwembwe nae alikuwa anachezaaaa makiri kiri


 HB Entertainment walikamua...vijana hawa wanacheza nyimbo za makabila yote ila ndo wametia ubunifu wao wanaimodenize......hapa ilikuwa ni wahaya wakaunguruma kihaya na kutupia na ile makiri kiri kidoogo kiduku,wacko jacko style ndani....ushaona chenkura inachezwa na suti weye..mie walinibamba kwa kweli......na tayari wametoa dvd yao ukiwahitaji wacheki kwenye namba hii 255 713 928171
                                                        Kiduku nacho kilikuwepo siku hiyooo

                                                                  NILIKOGUSWAA

                                                               HAIR DO'S
                                     Da Ted ye huwa ana dread lock ndefu....amezitengeneza vizuri kistyle

1 comments:

shata said...

http://www.dolabuy.ru/ch%C4%81nei-c-209_211/top-2020-ankle-boots-006-p-2424.html>s4a83s0c80 m3c91t6p06 q8j07n2k05 t8h23g5q89 g8u71q2b01 h3r60i2d12

Post a Comment