|
MMOJA KATI YA WAIGIZAJI WANAONIKUNA KWA KAZI ZAO...NA CHENGINE NINACHOMKUBALI KANUMBA NI HIZI SWAGGA ZAKE ZA VIVAZI ANANIFURAHISHA ANAJUA KUTOKA KICELEBRITY NA ANA UTHUBUTU...HE IS STATEMENT MAKER...IGA UNASE |
KIVAZI CHA KANUMBA KINAVYOONEKANA JUU ni suti fulani hv...Kanumba designer nani wa hii kitu ya harem(Mambo ya Mc Hammer) aka Kanyela au Mutwashiii kule kwa kabila..wink
PICHA::thanks to kanumba
0 comments:
Post a Comment