COLOR::ANIMAL PRINT ,BLACK & WHITE
VENUE :: SARAH RAQEY'z PLACE
THEME::50'z HAIR DO
MWALI NA SOMOYE
ulikuwa wakaribishwa na panch na mishkaki ya matunda
UJI WAKUNGU BILA KUKOSAA...HUU ULIKAANGWA NA KHADIJA MAWO WO WO
KILA ALIYEINGIA ALIKABIDHIWA SHANGA BIBI as a favor...MWANAMKE SHANGA BIBI KUTEMBEA KIUNO KIKAVU INAHUUUUUU?!!!
WANA KIBAO KATA WENYEWE NDO HAWA!!Ma....mh! Parent mate
wadada walikuwa na kijizawadi kwa mdogo wao......Wapi shangaziiii:(
HAIR DO'Z
...SIKU HIYO HAIR DO ILISEMEKANA ZIWE STYLE ZA LONG .......50'S HAIR, NI WACHACHE WALIOITII THEME
Aunt hapa aliibuka na BWEZIHAIR DO'Z
...SIKU HIYO HAIR DO ILISEMEKANA ZIWE STYLE ZA LONG .......50'S HAIR, NI WACHACHE WALIOITII THEME
Kyekue Giver aliniambia hii style ilikuwa inatumika saana na Maza ake enzi zao wakitoka kwenda kwenye ubarikio...wink...
Hii picha haikutakiwa kuwepo hapa ila sababu ipo ina sababu...mie huo wanja ndo uleee wa TATOO siku hizi ila zamani ulikuwa unapakwa na mafuta ya mgando!!
Da Khadija ye aliibuka na NYWELE ZA UZImiaka hiyoooo kama huna zazuuu kichwani basi ulikuwa na msitu kama huuuuu.....cheki kope
HII STYLE NIAMBIWA ILITESA SAANA MIAKA HIYO KAMA ILIVYO RIRI YA SASA...lol
Madam Sarah ye alichomoka na AFRO.....Kumbe watu wa zamani walikuwa wanapendeza eee??!!
HII STYLE ILIKUWA INATUMIKA KWA MALKIA ZAIDI ...vere class pepo ...ndo walikuwa wanalipuka na hii
BI HARUSI YE ALITOKA NA HII...SIKU HIZI INATAMBULIKA KAMA MAMUSHKA ...upo hapo...wink
RAHAAAAAAAAAAAAAA ya MDUARA UZUNGUKEEE..WA MBELE AENDE NYUMA NA NYUMA AENDE MBELEEE
RAHAAAAAAAAAAAAAA ya MDUARA UZUNGUKEEE..WA MBELE AENDE NYUMA NA NYUMA AENDE MBELEEE
NYONGESHAAA BIBI NYONGESHAAAA
DADA WA BI HARUSI JACQUE NAE AKATANABAISHAA YE SIO KYEKUEEE....wink!!
BI HARUSI NA SOMOYEEE NAO WAKATUONESHAA MAKEKEEE WALIANZA KWA KUSIMAMISHA MNAZI....WAAKKAZA TWANGA NA MWISHOOO WAKATAMBAAAA |
Hii ilikuwa ni moja ya sare ya siku hiyo
NILIKOGUSWAA |
0 comments:
Post a Comment