HONGERA FLAVY KWA KUANZISHA HUU MFUKO NA KUWA MWANAMITINDO WA KWANZA AMBAYE UMEFUNGUA MFUKO AMBAO UTASAIDIA WAMAMA NA WATOTO WENYE MATATIZO KATIKA NYANJA MBALIMBALI... nina hakikaaa umetupa changamoto ya kutosha ukiachilia mbali umri wako na tangu muda ulioanza kufanya uanamitindo kama kazi.... NAKUOMBEA KILA LA KHERI MALENGO NA UYATAKAYO YATIMIE .....sasa ni kazi tu....HONGERA ...
im happy for u toto ...XOXO
Mwamvita ,Ruge......Co- founders wa FMFserikali nayo ilitia mkono wake kwenye FMF |
Da TED nae alikuwepo kumpa shavu Flavy nafurahi ona wadada wanawasuppotiana
YESSSSS!! Manguli kibao wa fani mbalimbali walikuwepo kuipa shavu FMF
Mandhariii ilinoga hv
yes kama kawa Kanumba aliwakilishaaaa kutoka bongo Movies.....bi up Bro unajichanganya inapendezaaa
Mheshimiwa JM Alikuwepo
Yessss aunt nae alikuwepo kuwakilishaaa....huyu nae ni mmoja wa waigizaji ambao wanajimix .
Pundamilia style!!
statement maker...fashion Dare Ally aliharibu kama kawa
Mwamvitaaa nae ni mmoja wa wadada anayetupa shavuuu saana ....nafurahi kwa kuipa shavu FMF
Ah mama ZURI weee utasema hujashushaaa.....;)
bloggers....wanene walikuwepooooo kumpa support Flavy
COLOR COMBOOO
ANKO MO ...nae ni mhusika wa FMF shkran kumsupport |
PPS
Babu na Bibi walikuwepo kuishuhudia FMF....
UNYAYOOOOOOOOOOOOOO!!!!
hicho hapo si KIKUKU......bali KIJOGOOOOOO ;)
hivi mmestukia hata viatu vya siku hz vinarangi nzuriii kama pipi....COLOR COMBO iyo
HII NIITE MCHOTEO...wa aunt Furaha
KT's |
VYA KIUMEEEEEE ;)
BOYFRIEND WATCH ;)
ANGALIZO:: HV MNAZITOFAUTISHAJEE AU MWASHARE IYO IYO MOJA ;)kwenu wavaa saa maana naona kama zimefanana au kwa nyuma kuna for she/he ???!!!
sijui niite HAIR DO!!! au?!!
MADINIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!
NDIO HAYA NI MADINI TENA MAZITO HASWAA KUTOKANA NA DHAMIRA YAKE........mnakumbuka Flaviana na Hashim na Mjomba RUSSELS....narudi kuwajuza zaidi juu ya haya madini...ili muyasake |
ni GREEN BRACELET from SIMMON'S JEWELLERY....nunu yako
0 comments:
Post a Comment