NILIPISHANA NAO!!

 MWANAMITINDO FLAVIANA ....aliyekuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa jana....alikuwa Rose Garden alikopita kwa ajili ya lunch ...kitu cha makange

UNYAYOOOOOO

                                         ALIKUWA SAMBAMBA NA DA KHHADIJA
Naaaambiwa coffee ilinywewa Double Tree na baadae Mafian Fish Lounge....ambako nambiwa cake kadhaa zilitua kutoka sehemu tofauti....pale mtoko unapokuwa wa mshtuo hadi mnashtuana wenyewe ;)

0 comments:

Post a Comment