LULU CLARA....UNIQUE PEARL |
WAaaallaaa si umbeya hawa ni mafashionistaa wetu ambao daily tunazuga nao humu ndani, ndo maana nikaona kuna mabadiliko...we wachungulie vizuri picha za shoto walivyokuwa zamani (Before) na picha za kulia ni walivyo sasa....UNABISHAAAAA.....tupeni siri za urembo jamani.....KIZURI KULA NA WENZIO ;)
0 comments:
Post a Comment