NEW ARRIVAL......@TINY COLLECTIONS NA TUMEHAMIA TALK OF TOWN

Tiny Collections,

Duka la kwanza la full mtandaoni Tanzania! Duka la kwanza lililo bobea kwa
watoto Tanzania! linawatangazia mali mpya kabisa kutoka Uk imeshawasili sasa.

Njoo ujipatie viwalo,viambatanishi na mahitaji yote ya mwanao au pia kama zawadi

kwa ndugu na marafiki. Pamoja na mama wajawazito wote mnakaribishwa!

Makazi mapya na pevu zaidi sasa tunapatikana jengo la Talk of the town lililoko
Garden road, Mikocheni karibu na kituo cha kwa Nyerere!

Kwa maelezo zaidi piga simu/ SMS 0654 550 675. Unaweza pia kututembelea
mtandaoni www.tcollections.com na kuagiza mali utakazo kwa barua pepe ( email).
Au tufuate kwa Facebook page/group/ account yetu kama Tiny collections.

Wateja walioko mkoani haswa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mbeya, wasiliana
nasi kwa mipango ya delivery.

Watoto Viwalo, Watoto wakuche bwana!!!

Tiny Collections.












0 comments:

Post a Comment