KARIBU NYUMBANI BHOKE



MIE NILIKUWA  KIWANJA CHANGU CHA KUJIDAI CHA MAFIAN FISH LOUNGE .....NIKAKUTANA NA WADAU TOKA MULT CHOICE WAKIMSUBIRI BHOKE AMBAYE ALIINGIA MUDA MFUPI...NA KUPATA PICHA ZAKE ZA HAPA NA PALE......KARIBU HOME BIBI NA MAFIAN FISH LOUNGE NDO SEHEMU YA KUJIDAI

0 comments:

Post a Comment