AFRICAN TOUCH!!

  Hii kimetengenezwa na ethnik collection   ila ndo kwanza kinapikwa kitakuwa sokoni mwakanii ,Japo mie si mvaaji wa kiatu urefu huu nimeguswa....plz vitengenezwe Mama Obama style ili nivae nae...:)

picha::Thanks CIA AFRIQUE

0 comments:

Post a Comment