NEW ARRIVAL VAZI

Ujumbe wetu ni:
1. Duka lililokuwa likiitwa  the look kwa sasa linaitwa Vazi na  Blog iliyokuwa ikitumika zamani www.thelook4u.blogspot.com haitatumika tena badala yake itatumika www.vazitz.blogspot.com .  Duka hilo  lipo maeneo ya kinondoni,Karibu na kituo cha basi cha Komakoma, Mkabala na jengo la Biashara Complex. Kutoka posta ya zamani, barabara ya Mwinjuma, kupita Mango Garden na Meridian Hotel. Hatua chache baada ya Akiba Commercial Bank.
 NI MABINGWA WA VITU VYA KIKE NA VYA WATOTO...... WATEMBELEEE WANAPATIKANA::kinondoni,Karibu na kituo cha basi cha Komakoma, Mkabala na jengo la Biashara Complex. MAWASILIANO::0715 584540

0 comments:

Post a Comment