REDDS FASHION PARTY!!

                                                    stage ilivyokuwa inaonekana....chini full vioo







PASPOT SIZE!!





SWAGGAz























                                                   fashionista alitupia kitu cha lace kati
                             Fashionista huyu alikuwa na kitu cha sox.....chezee.....Kama my riri eee :)



                                  Mamaa Raniyya nae alikuwa na kivazi cha lace...Juu saana

Stocking kwa sasa zavaliwa saana Bongo ni swagga na kuna kabaridi jamani, pia inakupa kampani kwenye kivazi kifupi


                                                           Oh Oh oh lalalaaaaaaaaaaaaaa....:)


                                      Miss wa Zamani na wasasa...HAPO CHACHAA!!!!


WAKATI TUNAONDOKA ...SI TUKAKUTANA NA LIL KIM ANASHUKA KUELEKEA KWENYE FIESTA...NI DA KHADIJA PEKEE ALIYEBAHATIKA PATA PICHA!!   :)

0 comments:

Post a Comment