RAMADHAN KAREEM!!


Hii website  http://tanzil.info/. Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake. Pia kuna http://alhidaaya.com ambako utapata mawaidha na mapishi  na ukitaka masuala ya fashion zama http://ilovehijab.blogspot.com  au http://www.hijabstyle.co.uk/

0 comments:

Post a Comment