JIDE ANNIVERSARY!!

Jiugonjwa lenyewe linaelezea tukio zima

 Jide alinoga saaana alibadilisha mavazi mara tatu....kiufupi ilikuwa shoo ya ukweli kama wafanyanyo wanamuziki wakubwa wahuko mbeleee, hongera jideee kaza buti mamitooo
                                                            mambo ua kiatuziiiiiiiiiiiii

'KIGODA' cha ukweliii
 hii niite harlem Pant ama......
aliibuka na swagga za kihindi pia



                                            ah vijana wa Jide nao walikuwa kamili...full mzukaa
 swagga jukwaa zima

KUONA PICHA ZAIDI....MZUKIE LADY JAYDEE..... MTANISAMEHE SIKUWEZA PATA PICHA ZA RED CARPET MAANA KULISHONA HATA PA KUKANYAGA NILIKOSA HAKUNA

0 comments:

Post a Comment