VODACOM IFTAR!!


MUFTI ALIKUWEPO KUSINDIKIZANA NA WATOTO YATIMA 700 WALIOALIKWA KUTOKA SEHEMU TOFAUTI ZA NJE YA MJI, BADO ZOEZI HILI LITAENDELEA KWA MIKOA YA TANGA, PEMBA NA UNGUJA
 MKURUGENZI WA VODACOM ALIKUWA NA MACHACHE YA KUONGEA......


Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare.kulia ni Mkurugenzi wa Vodacom Foundation,Mwamvita Makamba wakikabidhi vifaa kama mchele, unga, mafuta ya kula, madaftari na maharage vitatolewa kama futari kwa watoto hao wanaohitaji upendo hususani katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani.


WATOTO HAWA ZAIDI YA KUFUTURU SIKU HIYO PIA VITUO VYENYE MABWENI VILIPATIWA MISAADA AMBAYO ITAWASAIDIA KATIKA MWEZI HUU




                                        palipendeza mnooo...shurti kwa mto wakuegemea.....:)

NILIPENDA WATOTO WA MADRASA WALIKUWA WAMEVAA UNIFORM.....inapendeza mnoo




RED CARPET.....:)






0 comments:

Post a Comment