MSHAURINI HUYU!!



Mimi nina tatizo la dark circle kwenye macho, nimeona wengi wanaojichubua au kujipaka cream wanakuwa nazo ila mimi sipaki cream kuna mtu kaniambia eti ni umri unaenda huo, so naomba mnisaidie nitazitoaje zinanipunguzia confidence plz.

na naogopa muda woote kupata make up nayo naskia inazeesha mnanishaurije?!!

0 comments:

Post a Comment