OLAY PRODUCT!!



habarini wadau,mimi natumia product za olay especcially,body wash naomba kama kuna mdau anatumia aniambie huwa ananunua wapi,mi huwa nanunua  mlimani city lakini huwa haziletwi mara kwa mara,natumia olay body wash plus creme ribbons au olay body wash plus body butter ribbons au naomba hata kama kuna mtu yupo nje ya nchi anatumia haswa USA niko tayari kumtumia pesa lakini shamim uwe unajuana naeTHANKS MUNGU AWABARIKI

0 comments:

Post a Comment