NIGERIAN'z WEDDING!!

KIBANDIKO MMEKIONA.....mama Duck upo :)
JIUGONJWAAA
MAPAMBO...shurti kuna picha za maharusi pembezoni

JIUAAAA
wow!! naona vail ilikuwa sambamba na kibandiko sio lazima cha kuangukia mgongoni wapopo wanaswaga







MMEWAONA WASIMAMIZI SARE KUANZIA KIATU...NIMEGUSWA NA RANGI YA HARUSI....matron mmemchungulia? ana kimini chake swaafi na si mburuzo
 KIMILA...ZAIDI
.....hawa naona kwenye mila wamevaa nguo zaidi ya 3 tofauti itabidi nitafute shost waKinigeria anialike....:( nihudhurie hizi sherehe zao nahisi zinanoga saaana....

Mnaikumbuka hii sare 'asoebi'...niliitoa kwenye Red carpet basi mambo yale yalikuwa kwenye harusi hii

PICHA:: THANKS TO BELLANAIJA

0 comments:

Post a Comment