TUMSHAURI HUYU!!

nina matatizo ya sijui niseme sun burn au nini sijui kama niko sawa ...kama umeshakutana na wanawake wa singida au Moshi wanakuwa kama wameungua hivi kwenye mashavu...sasa mimi imenipata kwenye paji la uso  na nimekuwa na rangi mbili sasa, naomba nishauri nitumie nini au hii imetokana na nini?!!

Mdau Bongo Urembo

0 comments:

Post a Comment