MSAIDIENI JAMANI!!

mambo shamy,,nimetembelea blog yk nmeona unazungumzia hbr za urembo..mpendwa nisaidie ngozi yangu ina mafuta sana mpk nachukia tena ina vichunus hlf nkipaka poda haipendezi usoni.nisaidie nitumie nini?kufanya uso wng uwe softi??????????????

Rose

0 comments:

Post a Comment